ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Unaponiona busy na simu jua Jonii nipo JamiiForums amini kwamba hamna kitu kizuri kwangu Kama JamiiForums na sina uadui na yeyote kuanzia Genta mpaka Mayala wote nawachukulia kama ma braza zangu japo sipatani nao me huwa sipanic na hata nikikosolewa humu ndani kwangu Mimi hakuna matata nachojitahidi ni kuendelea kuishi ki reality.
Na kwa kweli sina tabia ya kutongoza Wadada wa humu ndani sina habari na wanawake zenu, afu nimemmiss Demiss na najua alibadilisha jina huyu dada waga mtata mwingine Deo Kisandu bila kumsahau Mshana.
Mimi kiufupi JamiiForums nipo kila dayz bando langu kama ni kuisha linaishia huku kwenye forum nyingine me sikai me ni mtoto wa Maxence Melo basiii sina bifu na mtu na kama ipo basi anisamehe muulizeni hata member yoyote me sinaga shida kazi yangu ni hapahapa JamiForums.
Nina maneno kama wahenga najifunza mujanjanja ya Mkwawa na wengineo wote nyie ndugu zangu wote majembe wanaume wa shoka. JamiiForums hatuna mshindani hilo wote tunalijua.