[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] umejua kwa sababu tuliamua kuweka wazi.
Litunze faili maana lina episodes nyingi na litadumu milele [emoji108]
Kwa uwezo wa Mungu In Shaa Allah.Episodes zote zitakuwa salama kweli?[emoji30]
ila wananchi wa JF japo wanakupongeza kwa wingi ila wanapenda episodes ziwe na misukosuko mkuu!![emoji32].......wananchi wa JF bhana!![emoji1]Kwa uwezo wa Mungu In Shaa Allah.
Zitakuwa swalaaaama kabisa.
Sio JF tu mkuu,ndiyo hulka ya binadamu.ila wananchi wa JF japo wanakupongeza kwa wingi ila wanapenda episodes ziwe na misukosuko mkuu!![emoji32].......wananchi wa JF bhana!![emoji1]
Baba yetu John pombe. Huu ulikuwa ni mwaka wetu ndugu yangu faru JOHn uko wapiFaru JOHN
Ndege JOHN
Hawa baba yao kiongozi wa taifa fulani?