JamiiForums' Person of the Year 2016

Kwanini iwe kwa Watanzania peke yake, wengine kutoka nchi jumuiya ya Afrika Mashariki hawana vigezo??
Hizo tunzo zitakuwa za ubaguzi sasa.
 
Tukielekea kumaliza mwaka naomba tupige kura na zitahesabiwa tarehe 1 January 2017.

Awe member wa jamii forums, mtanzania.

Tupige kwa wingi taja tu jina la mtu ambaye katisha mwaka huu 2016.

Usiongeze maneno taja tu jina lake analotumia.

Asante.
goes without saying.....Maxence Melo.

bila yeye labda hata hii poll yako isingekuwepo mtandaoni!
 
Mexence Melo
Bila huyu jamaa member wengi wangekula xmass na mwaka mpya pamoja na lema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…