Innocent Kirumbuyo
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,641
- 4,457
Hello
Kwa majina naitwa Innocent Kirumbuyo.
Ilo ndilo jina langu nililopewa na baba yangu mzazi mwalimu wilifred kirumbuyo na mama yangu Benedetha Beda masawe
Elimu yangu ni kidato cha nne
Nimehitimu shule ya sekondari Siha sec mwaka 2012
Ok
Tuende kwenye mada moja kwa moja.
Nikiri jamiiforums kwa mara ya kwanza niliisikia kupitia kaka yangu kipindi hicho inaitwa Jambo forum.
Nakumbuka siku nyingi sana kipindi hicho matumizi ya mtandoa ayajashika kasi na simu zakuingia kwenye mtandao azipo kwa wingi hivyo sikufatilia sana.
Hadi miaka ya 2012 nakumbuka ndio nilianza kufatilia jamii forum kwa ukaribu
Mwaka 2013 ndio nilifatilia sana jamii forum kulikuwa kuna maada nzuri sana upinzani wa kisiasa upinzani wa Diamond na Ali kiba, upinzani wa mpira wa miguu yani huo mwaka kulikuwa na nondo za kushiba
Mwaka 2014 ndio mwaka niliojiunga na mtandao wa jamii forum rasmi baada ya kuvuti na michango na uwezo member Kiranga lara 1 Nifah Mshana Jr miss chaga nk
Toka kipindi hicho sijawai kujuta kujiunga na huu mtandao kwasababu umenijenga umenibadilishia maisha yangu umenikutanisha na watu wakubwa nafarijika sana na kujivunia kuwa member kwenye ili jukwaa ndio mtandao wangu pendwa
Nasema hivi kwasababu nakumbuka mwaka 2019 kupitia jukwaa ili niliwasiliana na member moja GLOBAL CITIZEN alinifundisha mambo mengi ndio chanzo Cha kunipa wazo la kufanya biashara mtandao paka sasa hivi natengeneza pesa nzuri kupitia kuuza bidhaa zangu mtandao
Jukwaa ili la jamii forum ndilo lilinikutanisha na member Paula Paul nikavutiwa kusoma vitabu paka sasa na ndipo nilipopata wazo la kuuza vitabu paka sasa napiga pesa nzuri
Kusema kweli kwangu jamii forum imekuwa msaada mkubwa sana yani kwenye biashara ya vitabu siwezi kumaliza wiki sijauza vitabu
Au viatu vyote hivi nimepata kwasababu jamii forum
Naamini siyo mimi tu wapo maelfu ya watu wamesaidiwaa na huu mtandao wamebadilisha maisha yao
Nawaomba mkaribishe ndugu jamaa na marafiki kwenye ili jukwaa kwasababu kwanza ndio jukwaa lililo huru kutoa maoni yako hapa unapata msaada na mawazo mbalimbali hapa unapata elimu burudani na ushauri bure unakutana na wanasiasa na watu maarufu mbalimbali
Mungu awabariki @maxmelo na wote waliofanikisha kuwepo kwa jamii forum
Mwisho kabisa nakaribisha watu kutoa ushuhuda toka uijuwe jamii forum manufaa uliyoyapata vipi imebadili maisha yako
Karibu sana

Upvote
5