Aisee! Kuna kaukweli.Kukosewa kwa kitu kidogo sana kwenye platforms kubwa kama hizi ni kosa kubwa sana.
Kama vitu vidogo namna hii hawana umakini navyo vitu vikubwa mfano privacy zetu wataweza kweli?
Unforgetable
Wamekosea picha ya message wameweka kwenye member na ya member wameweka kwenye messageAfter that statistics what next?