pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Sawa jombaa, ushawai nafasi ya Joseverest, sasa soma taarifa yenyewe, hujaiona? Nimeieka hapo juu. Ndo hii hapa, SUSPENDED REALITY; Tanzania's anti-corruption government is stifling the 'Swahili Wikileaks'!Uliiona wapi?
Aisee! Itakuwa kitu cha huzuni sana, kama atakosa hata wa kupiga kelele tu, kwa niaba yake, wakati tupo wengi humu. Kazi ni kuchapia tu maemoji kwenye jukwaa lake. Mungu amuepushe na hayo! Amina! Yaani mwaka wa 2017 pekee yake, alifika mbele ya hakimu mara 51!Hivi Watanzania waliacha kumfuata muasisi wa JF Maxence, alikua anakamatwa kamatwa sana, sijui issue zake zilifikia wapi. Unajua huko Bongo kuna watu wasiojulikana, ajihadhari nao sana.
Usiwe na hofu yupo salama sana na jf itabaki kuwepo milele na milele ayaaa semeni ameeen....Aisee! Itakuwa kitu cha huzuni sana, kama atakosa hata wa kupiga kelele tu, kwa niaba yake, wakati tupo wengi humu. Kazi ni kuchapia tu maemoji kwenye jukwaa lake. Mungu amuepushe na hayo! Amina! Yaani mwaka wa 2017 pekee yake, alifika mbele ya hakimu mara 51!
Amina! Ila isije ikawa tunaongea tu lakini hamna akshen! Kuna avenue nyingi, na mitandao ya kijamii ni mingi tu. Inafaa tutumie fursa hizo kukemea hii sumbua sumbua, jf isije ikayumbayumba bila ya hata sisi kugutuka. We have the numbers, why not do something? Each and everytime this sh#t happens.Usiwe na hofu yupo salama sana na jf itabaki kuwepo milele na milele ayaaa semeni ameeen....
Unatakiwa ujue kwanza alikua na kesi gani..ndio maana nmekwambia he is owk coz kesi yenyewe hawawezi kumfunga coz hajavunja sheria wala katiba ila wanaomshtaki ndio wanataka kuvunja katiba sawa mkuuuAmina! Ila isije ikawa tunaongea tu lakini hamna akshen! Kuna avenue nyingi, na mitandao ya kijamii ni mingi tu. Inafaa tutumie fursa hizo kukemea hii sumbua sumbua, jf isije ikayumbayumba bila ya hata sisi kugutuka. We have the numbers, why not do something? Each and everytime this sh#t happens.
Mkuu leta taarifa kamili, ya kesi zake, na zimefikia wapi. Tafadhali. Naamini itakuwa ni kwa manufaa ya wengi sana hapa jf.Unatakiwa ujue kwanza alikua na kesi gani..ndio maana nmekwambia he is owk coz kesi yenyewe hawawezi kumfunga coz hajavunja sheria wala katiba ila wanamshtaki ndio wanataka kuvunja katiba sawa mkuuu
Fafanua unachomaanisha mkuu. Sijanuia uzi huu uwe wa kuipoda serikali yeyote ile. Huku Kenya tuliona stesheni za televisheni zikifungwa. Vita hivi ni kati ya wale enlightened, kama utanikubalia nitumie lugha ya malkia, na wale ambao wanataka tubaki gizani!Sure..