Mbona wenye vibamia wakiambiwa mapovu huwa yanawatoka, hawana vifua?Mwanaume kaumbwa na kifua bwanaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] embu niondoke mie kabla wenyewe hawajaja, nisijepewa povu la kufulia nguo za wanajf wote.Wanavyovidogo kama vibamia vyao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka Sana aiseeee loh!!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka tena kwa sauti kubwaaaaHawa jamaa nao wanaunganaga haraka hapo bila kujali kina delicious na kina chief engineer [emoji16][emoji16]
Hahaaa wakija watoa povu,hatutakunywa kwa raha hapa. Kinywaji kitajaa povu tuKachukue kret moja basi tukae zetu humu tusahau shida... bill nitalipa
Hapn jirani sitoagi povuKwani umekugus jirani?
sitokwi na povu kihivyo mie... jaribu tena baadae..Kama hivi....
Wewe jamaa hujielewi kabisa sijui umezaliwa wapi
Mate tu jiraniJirani wewe unatoaga nini...maana kama hautoi povu kuna kingine unatoa
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Jirani una mambo.. haya buana ngoja niishie hapo tusije tukakufisha ndoa pamoja na kifo cha yesu