Hahahaha aseehJamani naombeni idea ya harufu ya pumbu
Domo kubwa halina cha kuongeaDomo kubwa unabaki kimy
hahahhhh halaf ww una dhambiItabidi tulishone sasa maana hakuna namna
Teh tehhhhhhh mwaga 'povu' bwana si umetajwa hapoacha nikae kimya
hahahah nimetajwa lkn havinihusuTeh tehhhhhhh mwaga 'povu' bwana si umetajwa hapo
hahahhah nakutania usije ukanitolea povu ila Daby wewe Mungu anakuona ujueUsihukumu usije ukahukumiwa.
Dhambi gani mama mdogo...?
hahahhahah chizi wwMungu ni baba yangu aliyebinguni lazima anione na kila niendapo ananiongoza.
Povu mimi nitakutolea ndani ya kilimanjaro
kakuacha au utakua umemuacha sio vizuri ujue Daby kucheza na moyo wa mtu akiwa anakupendaHusna alishaniacha siku nyingi. Wifi yako anakusalimia