JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Wambie chadema lowasa ni fisad na inatakiwa afungwe maisha hapo ndo utajua njano na nyekundu

Post sent using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
 
[emoji16][emoji16] sijui kama linanuka maana binadamu wanatabia mbaya atalishika na kulitumia wala hakushtui ila akikaa na mashoga zake anakutangaza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante
 
povu la huu uzi unaweza hata kuoshea yale magari makubwa!​
 
Ila jamani pumbu linanuka....linanuka jamani.
Nilipataga boy kwenye team E-fm jogging.
Huku na huku siku akanikaribisha ghetto kwake Kariakoo.
Jamani ile nafunua pazia tu nikapaliwa na vitu viwili
Harufu ya pumbu na uvundo wa soksi.
Nikajiuliza anaishije humu ndani na hali hii ngumu!!
Basi akavua nguo akaenda kuoga.
Huku nyuma nikachukua boxer yake nikainusa, yaani inatoa pwiya hatareeee maana matapishi yaliishia kooni.
Nikaiona singlend yake aliyoivua, nikainusa inanuka kibeberu.
Nikaangalia nyuma ya mlango nikakuta katundika chupi nikaitungua na kuinusa, aisee hali sio hali inanuka uvundo na kijasho cha pumbu nikaigeuza kuinusa huku mattakoni inanuka fresh veg sasa sijui huwa hajitawazagi maana niliikuta ina vimchicha vimegandiana.
Nikavuta viatu vyake, nikatoa soksi nikazinusa yaani hizo ndo balaa na ndo chanzo cha uvundo wa chumba mixer pumbulization.
Yaani mpaka kaptula ya jogging imeota weusi huku katikati ya mstari wa makalio.

Alivyorudi akavaa tukaenda dinner.
Kiukweli sikuifurahia ile dinner maana nilihisi zile harufu ninazo mwilini na rohoni mwangu.
Na niliamua kumpotezea maana nilijiuliza na uchafu ule anashindwa kujihudumia.....siku ya kuomba mechi na mimi si atanikopa tu.....nikajikataa zangu.

Best kama unanisoma, sio kwamba sikupenda kukupa game....tatizo mazingira yako ya mwili na chumba hayakunipendeza mpenzi.
 
Loh we nae Unapenda tu kunusa nusa.. Ushavuta harufu ya soksi unaitoa kwenye kiatu unanusa tena hee!!
 
Loh we nae Unapenda tu kunusa nusa.. Ushavuta harufu ya soksi unaitoa kwenye kiatu unanusa tena hee!!
Nilitaka nijue chanzo cha uvundo wa chumba chake.
Afu hii tabia sijui nitaiacha lini.
Mie hata nilipokuwa nasoma boarding nilikuwa nina tabia ya kunusa chupi na sidiria za wenzangu.
Sijui nina nyota gani mie....
 
Nilitaka nijue chanzo cha uvundo wa chumba chake.
Afu hii tabia sijui nitaiacha lini.
Mie hata nilipokuwa nasoma boarding nilikuwa nina tabia ya kunusa chupi na sidiria za wenzangu.
Sijui nina nyota gani mie....
Hiyo sio nyota ni sayari kabisa [emoji12]
 
Haha B, nakuweza basi
Huyu jamaa asije akawepo humu maana hilo povu atakalotoa ni balaa
 
Nimebadilika siku izi mi msafi. Njoo tena uhakikishe

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app
 
Haha B, nakuweza basi
Huyu jamaa asije akawepo humu maana hilo povu atakalotoa ni balaa
Hahahhah.
Wanaume ni wasafi, ila ukimkuta mchafu ni mchafu kweli shemeji.
Ngoja nikae nisubiri povu nikafulie pichu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…