JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Club bang fulani
Dj vigilante ft L tido wengine nimewasahau
Nimesikiliza kaimba DJ vigilante ft L tido,kid X,maggz,yanga . . .nzuri kiasi chake ila sijaelewa ni lugha gani ile
 
Kama unaendaga viwanjani utaelewa tu... ila kama hauendi ufutwe tu [emoji16]
Sio muhudhuriaji mzuri wa maeneo hayo
Ila huu wimbo ni my type kabisa so kuupenda rahisi . . .uskilizaji wangu tu
 
Kumbe la Kleesoft nikajua la sabuni za maana, hilo la sabuni za kichina acha watoe tu
 
u waambie wanaume watupe pesa aisee naitwaga majina yote mabaya , ila Sikomi
 
Hii thread ina bahati mbaya nimeiona nikiwa nimeshalewa. Ngoja nilale afu kesho nichangie vitu vya maana...

Mi sipendagi ujinga to zet eksitent
Haroo vipi bado umelewa au hujaamka?
 
Yaaan jiran apa umewazaa ukasema wekend hii ulete uzi gani ukaona uandike huu wa kijinga kijinga[emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…