JamiiForums ukihitaji POVU, fanya haya..

Povu ni hatari kwa maada husika maana unajikuta mtu ametoa povu mpaka unasahau maada ilikuwa inahusu nini
 
Aseeh humu kuna watu wanamapovu mkuu sipatii jf kama tungekuwa tunakuta live
Tungekuwa tunakutana live watu wangeogopa kutoa mapovu maana wange ogopa kudharauliwa wange punguza sana mapovu ila sio mbaya maana mapovu mengine yantuonyesha mtu alivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…