JamiiForums V.A.R

Hao jamaa hapo katikati ni kama wale jamaa wanaokaa kwende costa za moshi - Arusha, kuonesha costa linakaribia kujaa hivo tupande.
Cha ajabu mkipanda wanaanza kushuka mmoja mmoja.

Hao wameenda kujaza foleni kuonesha watu wamejitokeza. Wakikaribia kufika wanaondoka wanaenda kupanga mstari upya. Hapo ukiangalia vizuri lazima utawaona mwishoni.
 
Hi picha inazungumza utofauti wa raia na viongozi hata ktk mavazi. Hapo hata mtoto akiambiwa achague kilichotofauti na chengine akikosea basi atakuwa hajala🙄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…