Video assistant refereeHii V.A.R. ni kitu gani mbona sielewi wadau..?
Picha kama hii ukiituma kwa wife anaweza kuuua[emoji119] [emoji119] [emoji23]
Hahaha..mwaka wa fedha!!Dadadeq huu ndio uzi bora mwaka wa fedha 2017/18 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ndo VAR kali zaidi kwenye huu uzi..
Mkuu hii V.A.R mwamuzi nahisi alirudi mara mbili mbili kuhakiki.