JamiiForums V.A.R

Wazee wa var fanyen bas kama mnajikuna maana naona pamepoa sanaView attachment 1348312

Sent using Jamii Forums mobile app

Hili suala la wanawake kuacha kidole kimoja bila ya kufuga au kubandika kucha, nadhani inawezekana wanayo sababu ya msingi ambayo sisi wanaume hatuijui.

Kwa sababu imekuwa kama sio kitu cha kushangaza tena, maana wanawake wengi huwa wanaiacha.

Ndugu zetu wanawake hebu tuelewesheni Depal na wengine.
 
Inasemekana ni kwa ajili ya kusafishia punani 🤣
Kuna wale wanaosafisha kwa kuingizia kidole…
 
Inasemekana ni kwa ajili ya kusafishia punani [emoji1787]
Kuna wale wanaosafisha kwa kuingizia kidole…

Hahaha! Hapa sasa nimekuelewa mkuu, maana nimeona wengi wanaacha nikajua hii sio bahati mbaya.

Pole kwa swali la nyongeza, statement ya mwisho umeianza na, “kuna wale”

Je hii ina maanisha wapo wengi ikiwemo wewe huwa hamuingizi vidole?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…