Hahahaa kama Mimi mkuuuUzi huu umenifanya niwe makini kweli kwenye kutazama vitu hata kufikiri lazima zidane ahusike
Hii ipo sana. Ukiwa unapita kwa watu wazinguaji au wanaokudai unazuga uko bize.
Siku zote mijinga haitaki kukubali ujinga wao...Si kila kitu lazima UELEWE na werevu huwa wanaomba ufafanuzi!!!