Jamiiforums waweke live Voice Note kwenye kuchangia mada.

Wachangiaji watapungua kupatikana kwa sauti yako rahisi sanakukupata ulipo kwa mtazamo wangu mfinyu haifai
Sio lazima kuchangia kwa sauti,ila ukijiskia kutuma VN uwe mtu unatuma tu
 
Sio lazima kuchangia kwa sauti,ila ukijiskia kutuma VN uwe mtu unatuma tu
Ukumbuke utatakiwa kuwa na avatar mbili ya sauti na ya maandishi vinginevyo watakupata
 
Haita noga sana kama kuandika
 
Kwanza kabla hujaandika ulipaswa kujiuliza kwanini unatumia Alosto badala ya jina lako halisi?
 
Waweke maana mi kuna muda hua natamani nirekodi nichambe wanaonisakama kuandikahaitoshi
 
mmechoka kutype mnataka voice,,na mnapoelekea mtataka video call mchangie mada
 
Huku ndani watu wanaishi kama magaidi kila kitu ID waulizeni wale mabingwa wa kukosoa serikali kilichowakuta waliodhani ID fake ni kichaka cha kujificha
 
Huyoo huyoo huyoo!!! (katika sauti ya Nyerere).
 
Una wiki tu humu unataka jf iwe km whtsap
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…