JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Endapo ukihitaji mtu wa kukufundisha kudinywa na mambo ya ndoa niambie.
Kwa umri wangu wa 60+ nimedinya wanawake wengi ndani na nje ya nchi(sijisifii ila uzoefu ninao)
nina amini darasa langu litakusaidia uwe mke bora.
 
Kwani wale kataa ndoa wanasemaje?
 
Chit chat!!
 
"Wapendwa, Mungu akitoa kibali November ninaolewa na mchumba niliyempatia hapa JF.🤣❤️".
Kosa kubwa sana la kiufundi. Kwanini umeshangilia ushindi kabla mechi haijaisha? Ungesubiri kwanza ndoa ipite ndo ufurahie na kuutangazia umma.

Kwa huyu mgweno ndiko moyo wangu uliko. Nilimpenda sio kwa moyo wangu wote bali kwa vyote vilivyotumika kuniumba. Nilimpenda sana huyu mwanaume kiasi cha kuwaona wanaume wengine wote walionitongoza kama wachumba tu🤣.

Hiyo paragraph inaonyesha jinsi gani bado unampenda mgweno. Technically wewe bado ni wa mgweno vinginevyo ni Mungu aingilie kati kuondoa moyo wako kwa mgweno kwenda kwa huyo jamaa mpya. Pia umemlaumu mgweno bila sisi kujua upande wako. Nitakuwa na maombi mazito kukuombea. NITAFUNGA SIKU TATU BILA KULA KITIMOYO ROSTI NA NDIZI MBILI (pilipili usiweke) kwa ajili yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…