JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

maskini shemeji yetu mpya utampa stress za mgenu sjui ndo nani mwenyewe umemtaja mtaja kwenye post yako any way ndoa njema best mpee yote ukiolewa usimpe roborobo ya mgenu sjui mgenwa yafukie basi ila usije kuyafukua.
 
Tulia tu dada angu tule pilau[emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo mambo mengine sie hayatuhusu wala[emoji16]
Si wanaenda ishi peke yao humo ndani
We Darln jamani wa hiyo dadamtu nimruhusu tu mdogo wangu aingie Chaka jamani?🤔🤔
 
Jamaaa Abadilishe ID atupe story kwenye uzi wetu pendwaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Jamaaa Abadilishe ID atupe story kwenye uzi wetu pendwaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kwani nimewakosea nin wakuu mbona mnataman yanikute mabaya?😭😭
 
Hakuna ndoa hapo... Mtapotezeana maisha... Nipo nimekaa pale mmoja wenu atarudi baada ya muda kujuta humu JF...
KATAA NDOA UISHI KWA AMANI UIMARIKE KIUCHUMI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…