Huku ni "Great thinkers" inabidi tumaintain hii spirit,bravoNi baada ya Jamii Forum kutoa mchango mkubwa kwenye mijadala ya kuingia uchumi wa nchi
Source Star tv bungeni
Nimemsikia kaipongeza Tena kwa Mara ya pili jf, ama hakika jf ni baba lao[emoji2935]Ni baada ya Jamii Forum kutoa mchango mkubwa kwenye mijadala ya kujenga uchumi wa nchi
Source Star tv bungeni
Mello Hana kesi za uchochezi mahakamani?Ni baada ya Jamii Forum kutoa mchango mkubwa kwenye mijadala ya kujenga uchumi wa nchi
Source Star tv bungeni
Mwigulu Nchemba au unataka ile ya kificho?Atwambie na ID anayotumia ili tumpe makavu humu
Unajikiaje mkuu Pascal Mayalla! Muda huu ungekuwa unagonga tu meza. Bahati mbaya wajumbe walikupa kura 1 tu kwenye ule mchakato wa kura za maoni! 😩Big Big Big Up Maxence Mello!.
P
Mwigulu awe real? Kesi dhidi ya Maxence zilifunguliwa Waziri wa Mambo ya ndani akiwa Nani? Acha kumwamini Huyo Mnafiki, anaona Mello habadili msimamo na watu wanampenda anajifanya kumpongeza ili aungwe mkono JF.Amemshukuru sana Max...nadhani alikuwa real