JamiiForums yashirikiana na DPDC kuendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mahakimu Wakazi wa Mikoa 29
Taasisi ya JamiiForums kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mhimili wa Mahakama ili kurahisisha mazingira ya Utekelezwaji wake katika Mashauri mbalimbali yanayofika Mahakamani.
Mafunzo hayo yaliyofunguliwa na Jaji Adam Mambi, yaliendeshwa na Wataalamu wa Masuala ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na kuhudhuriwa na Mahakimu Wakazi Wafawidhi kutoka Mikoa 29 na baadaye kufungwa na Msajili wa Mahakama ya Rufani, George Herbert.
-
GUESTS and EVENTS_IJA_JF_PDPC (3).jpg
909.8 KB
· Views: 5
-
GUESTS and EVENTS_IJA_JF_PDPC (10).jpg
956.7 KB
· Views: 5