Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Nimeona kuna mtu kaandika anaenda na mkewe bao nne mpaka tano. Nimeshangaa, hiyo ndiyo midinyo mnayowapa hawa wanaume au ni chai tu.
Wewe raundi ngapi akienda unasema inatosha, kesho nayo siku?
Mimi akinipiga tatu labda tuwe tumemisiana sana la sivyo kesho yake kitandani atanikuta kama chura hapo chini 👇