Mshangazi dot com
JF-Expert Member
- Nov 19, 2011
- 1,345
- 3,503
Round moja mimi inanitosha.Wewe raundi ngapi akienda utasema inatosha, kesho nayo siku?
Ungezaliwa vp? Lala basi kesho nayo siku.Maisha yangekuwa bora sana kama yasingehusiana na ngono.
Sijui kwa nini alie tuumba aliweka kitu hiki kiwe sehemu ya maisha.
Eti, kuchoshana tu, ataikuta na siku nyingine haidisappear!Round moja mimi inanitosha.
Akienda ya pili nadai talaka.
Naona pekee umetagiwa x2 hii ina maanisha Nini kibaolojia ?Round moja mimi inanitosha.
Akienda ya pili nadai talaka.
Mbili ππ Mi napenda one roundNimeona kuna mtu kaandika anaenda na mkewe bao nne mpaka tano. Nimeshangaa π³, nyie wanawake wenzangu ndiyo midinyo mnayowapa hawa wanaume au ni chai tu.
Wewe raundi ngapi akienda utasema inatosha, kesho nayo siku?
Mimi akinipiga tatu labda tuwe tumemisiana hatujaonana miezi la sivyo kesho yake kitandani atanikuta kama chura hapo chini π
View attachment 3250900
Inamaanisha ni mtu muhimu sana jamvini πNaona pekee umetagiwa x2 hii ina maanisha Nini kibaolojia ?
Waja hawachelewi kutuita sie tunaopenda hivi wavivu πMbili ππ Mi napenda one round
Sijui hata! Niambie wewe shekhe HusseinNaona pekee umetagiwa x2 hii ina maanisha Nini kibaolojia ?
ππππWanawake wa sasa hivi hawana tofauti na ma broiler yale makuku ya kisasa, unalikuta limezubaa lipo lipo tu hamu halina mvuto halina hovyo tu.