Jana bungeni

Jana bungeni

Dr.Mboya

Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
25
Reaction score
7
Kusema ukweli kilichotokea mjengoni jana sio siri wananchi wamehuzunishwa sana kumbe wale watu hawako kwa maslahi ya nchi hii kwa nini bunge katiba lisifutwe kabisa haina maana yoyote kabisa.nawakilisha
 
Acha hatuwezi kuburuzwa kwa kuvunja kanuni, hapo nimeipenda na mm ni mwanachi ila sijahuzunishwa taratibu zifuatwe ili tupate katiba nzuri ,
 
Back
Top Bottom