Kanunue mafuta ya habbat sauda kwa kingereza black seed oil ambayo ni pure tumia kijiko kimoja kwenye kikombe cha kahawa.. Ndani ya masaa 12 utapona ukiona bado kunywa tena.. Hii ndo dawa natumia mimi inanisaidia sana kwa kikohozi..mafuta ya habba soda unaweza kuyapat kwenye maduka ya dawa za kiarabu.. Haizidi buku 2 au 3..