GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sisi mashabiki was Simba tunaojielewa tunapongeza jitihada za viongozi. Ukiwa kama mzazi hupaswi kuwafurahisha wanao Kwa chakula kizuri na vinywaji wanavyoandaliwa na dada was kazi.Unajua viongozi wa hizi timu mbili huwa wanawachukulia poa mashabiki wao, walichokifanya Simba jana ni kukosa heshima kwa mashabiki wao. Jambo la msingi wanatakiwa kusajili vizuri vinginevyo msimu ujao wataleta mtafaruku mkubwa ndani ya Club kwasababu mashabiki wamesha onja radha ya kuchukua ubingwa na kufanya vizuri kimataifa.
Kwani GSM anaifanyia Nini Yanga?Halafu unaweza ukakuta huyu mhindi Mo dewji anaichezea kamari timu ya simba.....ameiweka kama stake kwenye kamari
Na kivipi Mwajiriwa wa Metl anaenda kuwa CEO wa timu ya mwekezajiKwani GSM anaifanyia Nini Yanga?
We hata kama ulifeli MEMKWA unaona iko SAWA mkuu wa kitengo Cha uwekezaji anakuwa Mwenyekiti?
Utopolo mtakufa vibaya nyiee[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe no Mmoja wa Mashabiki wa Simba SC Werevu ( Intelligent ) sana hapa Jamvini JamiiForums. Ubarikiwe mno Mkuu.Unajua viongozi wa hizi timu mbili huwa wanawachukulia poa mashabiki wao, walichokifanya Simba jana ni kukosa heshima kwa mashabiki wao. Jambo la msingi wanatakiwa kusajili vizuri vinginevyo msimu ujao wataleta mtafaruku mkubwa ndani ya Club kwasababu mashabiki wamesha onja radha ya kuchukua ubingwa na kufanya vizuri kimataifa.
Kwa haya mawazo ya kikolo mpira wetu utasubir sana,so Simba waachane na ushindani uwanjani waelekeze nguvu kweny kujenga uwanja?Sisi mashabiki was Simba tunaojielewa tunapongeza jitihada za viongozi. Ukiwa kama mzazi hupaswi kuwafurahisha wanao Kwa chakula kizuri na vinywaji wanavyoandaliwa na dada was kazi.
Siku wanapokula kande au kushinda njaa wanatambua kwamba kumbe maisha yana utafutaji ili ule vizuri hivyo kama mzazi lazima uwekeze Kwa vitega uchumi. Ndicho wanachokifanya viongozi, Sasa ninyi mnataka mle pilau Kila siku kutumia pesa kusajili bila kufanya investment?
Kusajili ni mchakato wa Kila mwaka lakini ujenzi unaweza kufanya Leo ukakunufaisha miaka 50 ijayo.
Acheni mawazo ya kizamani, mpira ni biashara siyo makelele tu!
Kweli wewe ni kubwa Jinga!Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile.
Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka patupu mnatuhamisha Mawazo yetu ya Usununu (UIchungu ) kutupeleka katika Ujenzi wa Uwanja wa Awali wa Mazoezi ambapo hata Pesa zenyewe bado hazina uhakika wa kuwepo/ kupatikana kwa sasa.
Samahani Mkurugenzi! ungeongeza neno "mbu" mbele ya hilo neno "Mambumbu" ili kuleta mantiki sahihi ya kile alichokisema Mwenyekiti wetu wa simba wa wakati huo, Mheshimiwa Ismail Aden Rage.Sasa nimeamini kwanini Boss wangu wa zamani na Kiongozi ninayemkubali Simba SC Mzee Ismail Aden Rage alisema kuwa Sisi wana Simba SC ni Mambumbu sana na hakika alikuwa sahihi Kutudhihaki kiasi kile.
Mnaacha kutuambia Kocha Mkuu anakuja lini, Usajili utakuwaje na kwanini Msimu huu tumetoka patupu mnatuhamisha Mawazo yetu ya Usununu (UIchungu ) kutupeleka katika Ujenzi wa Uwanja wa Awali wa Mazoezi ambapo hata Pesa zenyewe bado hazina uhakika wa kuwepo/ kupatikana kwa sasa.
Kumzidi aliyekuzaa?Kweli wewe ni kubwa Jinga!
Nakuja kukubeba mana hospital za vijachaq zipe, milembe inakuhusuKumzidi aliyekuzaa?