Jana Nilikesha, Na Leo Pia Ndio Natoboa Hivyoo...

Ubongo unahitaji kupumzika, ukikesha ufanisi kazini unapungua na akili inawahi kuchoka.

Kwanin ujitese wakat una nafasi ya kulala
Nyie ndo mnasinziaga class/job...asubuh asubuhi unakuta jitu zima linakoroma.

Mim nalala zangu endeleeni kutulindia JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njoo uzi wa usiku wa maneno tun⁰akesha daily na tuko wazima na asubuh mishe zinqendelea

Ila najibana hapa kuaubiri madhara

Asee [emoji3]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu Kwenye Sehemu Yenye Shangwe Hivi Vote Unasahau

Back
Top Bottom