YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Njoo uzi wa usiku wa maneno tun⁰akesha daily na tuko wazima na asubuh mishe zinqendelea
Ila najibana hapa kuaubiri madhara
Ubongo unahitaji kupumzika, ukikesha ufanisi kazini unapungua na akili inawahi kuchoka.
Kwanin ujitese wakat una nafasi ya kulala
Nyie ndo mnasinziaga class/job...asubuh asubuhi unakuta jitu zima linakoroma.
Mim nalala zangu endeleeni kutulindia JF
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumekesha miezi mitatu jeshini hatujafa.Wakubwaaa Nauliza Hivii Haina Madhara Kweli?
Kukesha Siku Mbili Mfululizo Bila Kukutanisha Kopee
Sent from my iPhone using JamiiForums