[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] matabePole mkuu.....
Ulikua unawashwa nini kwani?
Habari za leo wakuu,
Jana nilikuwa nasafiri kutoka dodoma kuja dar, nilikuwa nimepata lifti kwa rafiki yangu na tulikuwa wawili tu, njiani tumbo likaanza kunisokota, nilijitahidi kuvumilia lakini ilifika mahali ikabidi nimuombe asimamishe gari ili nijisaidie
mimi sikuwa na maji wala toilet paper, na sikupenda kuomba kwa rafiki yangu hivyo nilitelemka tu nikitegemea kutumia majani ya laini, baada ya kuharisha nikajipangusa kwa majani ya laini
Ile kukaa tu kwenye gari nikahisi kama uwasho fulani nikajua huenda sikujipangusa vizuri tukifika morogoro nitamuomba jamaa yangu nikajisaidie tena
Wacha nianze kuwashwa, nikajitahidi kuvumilia aah wapi mbona nilishindwa kuvumilia ikabidi nimuombe jamaa yangu maji yake ya kunywa ili nikajitawaze kwa maji na sabuni kule kule porini tena
Baada ya kujitawaza ndiyo uwasho ukaisha, sikumbuki jina la yale majani ila ni ya laini sana kama toilet tissue
Nawashauri Ndugu zangu ikiwa ni lazima ujisaidie porini basi epuka majani ya porini
wahi nyumban bana shemela kalinde ndoaMkuu nimecheka sana dah! Hahahahaha pole sana bila shaka ulitumia upupu Mkuu ila nimecheka aisee niko kwenye gari niliokuwa hawajui nacheka nini nao wameanza kucheka na kutaka niwaambie nini kimenichekesha kiasi hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka bila kupenda
[emoji23][emoji23][emoji23] shem adi huku?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] matabe
wahi nyumban bana shemela kalinde ndoa
Matabe ndiyo nini?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] matabe
Kaka si ungewaambia tu kinachokuchekeshaMkuu nimecheka sana dah! Hahahahaha pole sana bila shaka ulitumia upupu Mkuu ila nimecheka aisee niko kwenye gari niliokuwa hawajui nacheka nini nao wameanza kucheka na kutaka niwaambie nini kimenichekesha kiasi hiki.
Unasema kweliSina jiko mie shem weekend hii 🙂
Sasa hiyo leso hana angefanyaje labda la kumshauri la kununua majiUna moyo kwanza kutumia majani, si ungeweza kutumia lesso tu inatosha pia jitahidi ukiwa
Safarini jaribu kununua maji ya chupa, maji ni uhai na kwa afya ya kila kiumbe duniani
Kaka si ungewaambia tu kinachokuchekesha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niliwaambia dadaake baada ya kumaliza kicheko changu cha hadi machozi kwani nilikuwa napiga picha kichwani kuona Mkuu MKWEPA KODI alivyokuwa akijaribu kuwa mvumilivu kwa tumbo kusumbua kisha uvumilivu ukamshinda baadaye kutumia upupu na kurudi kuendelea na safari huku muwasho mkali ukimtafuna ndani kwa ndani naye kujaribu kuwa mstahamilivu lakini pia akashindwa ikabidi aombe maji LoL! Hahahahaha. Kuna uzi humu wa watu waliokuwa wanasumbuliwa na matumbo wakati wako safarini, nao unachekesha sana.
Unasema kweli
Dah.... where is love?Nilikuwa Cairo Airpot transit, hakuna siku niligundua thamani ya choo kama siku ile. Nimefika chooni wa mama wa kiarabu wasafishaji mmoja aliniomba tip. Akili yangu yote ilikuwa kutumia choo, sikumpa chochote. Kwa kunikomoa alinionyesha choo alichomaliza kukisafisha na ajua fika hakina toilet paper
Uzuri sisi wamama hatukosi tissue kwenye handbag, hicho ndichow kilinisaidia