Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza!
Baada ya kuamka nilikimbilia kwenye simu yangu kuitafuta mechi live, baada ya kuserch kidogo nikaipata live"😅
Kipute kinapigwa Si mchezo na vibe la kutosha, na wenge lilE la usingizi, niliendela kuenjoy soka huku Senegal wakiongoza
Baada ya kuangalia kama robo saa hivi akili ikaanza nirudia, mbona vibe hili kama la mchongo, hàlafu soka lenyewe kama artificial 🤭
Nikaangalia muda...nikaona ktk hali ya kawaida iltakiwa Mpira uwe umeisha?
Ilibidi nitafute Radio, nikakuta mwatu wanapigiana Penalty!
Huku kwenye Katuni zangu Mpira upo dakikaa za mwisho muda wa kawaida!
Aisee zile Katuni ni kiboko!
Wadau mnazijua? Ogopa Teknolojia!