Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sigara ni motoSalaam wanang wa Jamiiforums
Oya wadau jana nimeota navuta sigara, wataalam wa ndoto, hiyo ndot inamaana gani?
Ahsante mkuu Mshana JrSigara ni moto
Sigara ni sumu
Moshi wa sigara ni kitu chepesi na hupenya popote
Tafsiri
Kuna jambo umelifanya/ unatarajia kulifanya lakini halitakupa matokeo mema hata kama unalipenda
Chufu kama chufuSigara ni moto
Sigara ni sumu
Moshi wa sigara ni kitu chepesi na hupenya popote
Tafsiri
Kuna jambo umelifanya/ unatarajia kulifanya lakini halitakupa matokeo mema hata kama unalipenda
Nyie madogo, sielewi huwa mnafeli wapi!Salaam wanang wa Jamiiforums
Oya wadau jana nimeota navuta sigara, wataalam wa ndoto, hiyo ndot inamaana gani?
Dream interpretation ni sayansi au "kanyaga twende"?Sigara ni moto