rashidiiddi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 224
- 117
Dah tuwe making bas[emoji5]Kahawa bila flavour [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
hahahaahhJuzi tu umkuja hapa unasema maisha magumu,, leo umeshinda biko,, sijui ni ndg yake beira ww
Nisubili hapo hapo njia panda na hizo milion 20 naja.Naomba tushauriane wana jf mana hapa Niko njia panda
halafu atakifanyia nini hicho kibanda,mawazo ya kimasikini banaSimamisha hata kibanda cha vyumba vitatu.
Katoe fungu la kumi kwa "wenye kuijua hela"Toa sadaka maana imeandikwa umepata bure toa bure.
Kweli hasee jamaa liongoJuzi tu umkuja hapa unasema maisha magumu,, leo umeshinda biko,, sijui ni ndg yake beira ww