Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

Ndio wale walio katazwa yy kaenda bora wakuvamie tu. s.h.o.g.a
 
Ndio wale walio katazwa yy kaenda bora wakuvamie tu. s.h.o.g.a
Heeeeh Kuna watu tunawaheshimu humu JF. Akina Maxence Melo , Bill Lugano na wengineo. Wewe unamkoseaje jamaa huyu heshima? Hajawahi mtukana mtu, hajawahi gombana na mtu. Wewe mwenye huo uchafu unasimama vipi kudhania kila mtu anafanya hayo? Huwaogopi hata wazazi wako wakisoma huu uzi?

Eeeeh ....Bilionea Lugano.. unikumbuke utakaporudi tanzania.
 
Ulikosea mutokwenda na daktari wako wa kichaa kukusaidia

Ubaendeleaje baada ya kukazwa hospitali ya vichaa Qatar?

Ulitaarifu nduguzo kuwa umeehuka na kichaa kimekupanda Qatar? Wakutumie ndege haraka ukalazwe Mirembe kupunguza gharama za matibabu?
 
Bila serikali kuchukua juhudi za makusudi kunusuru vijana tutamkosa Lugano sooner or later.... Just a matter of time.
 
Kahawa au chai?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…