Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

Malafyale nakukubali sana aiseee, wewe ni mwamba
 
Tangawizi kwa mbali!!
 
Ok ok
Naona Joseph haule mwana msolopanz nadhani nimeshushwa kuja kuokoa hiki kizazi
 
Mwamba huyu hapa , sema umeongeza chai nyingi Sana Bro
 
Ulikosea mutokwenda na daktari wako wa kichaa kukusaidia

Ubaendeleaje baada ya kukazwa hospitali ya vichaa Qatar?

Ulitaarifu nduguzo kuwa umeehuka na kichaa kimekupanda Qatar? Wakutumie ndege haraka ukalazwe Mirembe kupunguza gharama za matibabu?
Unamkose sana heshima tajiri mkuu wetu [emoji23] [emoji23]

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Nilivyoona heading tu na jina la mleta uzi nikaanza kucheka kwanza
 
Kipindi cha kikwete takwimu zilionyesha 1 ya nne ya wa TZ ni vichaa. Saiv imeimprove ni 3 ya nne..mwenye akili timamu nimamu ni mmoja tuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…