Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

Hivi we umekuja kujipa sifa za uongo hapa?? Hivi mnamuelewa huyu mtu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ahsante kwa kuja bill hahahaha [emoji38][emoji23][emoji1787] nimecheka sana
 
...Uko Qatar na unapata Muda wa Kuandika Ujinga Wote huu? Pole.
Anyway, habari za Kwa Mfuga Mbwa..[emoji1][emoji1]!
 
Sema ulivyokua Kidukulilo ndio ilikua unyama huyu Bill Lugano story hainogi sana.

Anyways, nyuzi zako huwa zinani inspire na kuniburudisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo meng bila picha ni umandonga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…