Jana Nimevamiwa huku Qatar. Usalama wangu umekuwa hatarini. Wakiendelea hivi Nitaondoka kwa kweli

Qatar hatutumii visa kuingia Nchi yao ni nauli yako tu na kipindi hiki na kinachoendelea hawatakuwa wasumbufu ukitaka kwenda kutembea unaenda tu na kurudi sio kama Hong Kong kukurudisha Airport wao hawaoni shida...
 
We Jamaa umepona kidogo hiki Kichaa au bado uko Mirembe?
Mwenzio Andrew Nyerere kapona kabisa hatusumbui tena.
Na rafiki yako Don Nalimison washapona bado wewe.
Mungu akupe wepesi
 
Inaelekea ni kituko fulani hivi, kila akushangae wewe tu?! Ndoto nzuri!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…