Numero Uno
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 607
- 1,302
Apia....Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box
Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
Okay ila hata Yanga walionewa kutokana na refa kutotoa red card kwa dangerous plays za John Boco dhidi ya Mukoko Tonombe.Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box
Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama sio penati vile badala yake wanazungumzia tukio la linesman kuingia uwanjani wakti ni kitu halali kwa sheria za mpira za FIFA
Hatujamlalamikia refa wala kuwalaumu tff nawaomba na nyie muwe wapole kwa tukio kama hilo likiwatokea
Kuna faulo morrison alichezewa ambayo ilikuwa nidirect red lakini refa hakutoa hata yellowOkay ila hata Yanga walionewa kutokana na refa kutotoa red card kwa dangerous plays za John Boco dhidi ya Mukoko Tonombe.
Kwa aslilimia kubwa matokeo ya game yaliamuliwa na refa two clear penalties
We nawe sifuriIle siyo penati mkuu. Ile ilikuwa ni ball to hand na siyo hand to ball.
Okay ila hata Yanga walionewa kutokana na refa kutotoa red card kwa dangerous plays za John Boco dhidi ya Mukoko Tonombe.
Malizia hapo na Boko kunyimwa Kadi Nyekundu.
Usiangalie kwenu tu, refa kawabeba sana Simba jana kwa rafu zile walizokuwa wanacheza.
Ukiona timu inalilia penalti jua ni wanunua mechi.. maana hata kwa kaizer morrison alikuwa anahangaika na penalti...
Kama timu yako ni nzuri funga magoli mazuri acha kutegemea magoli ya kupewa ya penalti...
Rafu unacheza sana kadi upewi.. ila refa unamuona mbaya
Azam hawakurudia lile tukio la pili sijui kwannKwa aslilimia kubwa matokeo ya game yaliamuliwa na refa two clear penalties
Dogo kuwa makini huenda unayemuita sifuri ndiyo anampa furaha mama yako. Kuwa na heshima kijana.We nawe sifuri
Kacheze unapochezagaDogo kuwa makini huenda unayemuita sifuri ndiyo anampa furaha mama yako. Kuwa na heshima kijana.