Jana refa katunyima penalt

Naunga mkono hoja mkuu na uzuri malipo ni hapahapa huenda wakanyimwa penati next game utawaona watakavyogeuka mbogo
 
Ndo tatizo la wabongo mtu umelalamika halafu mwisho unasema hulalamikišŸ˜…šŸ˜…

Kunywa maji mengi mkuunduguyangu😜
 
Haya tunalifuta hilo goli kwahiyo tulitoka 0-0 mreridhika Sasa?
 
Ndiyo maana hata kimataifa wanakuwaga mikia maana huko marefa hawawabebi hata nukta
Ndio mkuu hawa wanabebwa sana na ndio maana huko kwenye mataifa anaejulikana ni simba. Nikijaribu kutrace ni kuanzia goli la mkono la tambwe, penaiti ya tuisilia kufanyiwa faulo nje ya kuminane round ya kwanza na hata jana refa kapeta penaiti mbili za simba.
NAOMBA VIONGOZI WA SIMBA WAANGALIE SANA HAYA MATUKIO YA MAREFA KUIBANIA SANA SIMBA INAPOCHEZA DABI HILI SWALA SIO DOGO MAANA NI KAMA LIMEOTA MIZIZ SANA.
 
Refa ali balance mafyongo yake. Kaminya penati kila sehemu na kaminya red card kila sehemu
 
Wale sio wachambuzi ni wasaka TONGE/mkate wa siku through football kwa kivuli cha uchambuzi ..nakupa mfano
Jana nilikuwa nasikiliza kipindi cha sports extra kuna jamaa anaitwa farhani huyu msela aliulizwa sababu ya simba kufungwa basi eti yeye akasema anaona kukosekana kwa wachezaji ambao wana background /historia ya kuandaliwa na simba sc ndio sababu maja wapo

Jamaa alisema wachezaj walicheza hawana spirit wa kufahamu ukubwa wa derby ya kkoo ...nikajiuliza huyu mwamba amesahau yanga alipigwa 4 paale BWM stadium na foreigner players wengi walitupia magoli .....
Hawa jamaa ni makanjanja
 
Umeona tu hilo? Hukuona clutch ya Boko kipindi cha kwnz na alipaswa ale red card?

Refer alijitahidi kubalance sana lile game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…