Jana shetani alirudi na flight ya jioni.

Kwakweli shida sana
 
Nilikua club moja hapahapa mjini baada ya kutoka club X sababu palikua pamejazana machoko. Kule sasa sijatulia ikaingia team ya kanga moko, aisee hii kufuru ni hatari hata sijui niisimulie vipi.
Halafu muache uchokozi.

Ina maana hao hawakuonekana mwezi mzima mpaka ndege iliporejea na mteja wao. Walikuwa wanamkaribisha!!!!😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…