Jana usiku mapoti wameninyaka nimelala sentro..

[emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445]
Haya yote ni maisha ipo siku yatakwisha leo mja ninahangaika mambo yamebadilika....
 
Hahahahaha
 
Mimi huwa natembea kwenye begi na nguo za mazoezi ikitokea naelekea sehemu usiku sana navaa zile nguo na kuanza kikumbia kama mfanya mazoezi. Kumbe ndiyo safari imeanza hivyo.

Huwa nakutana nao sana ila nawaambia niko mazoezini wakuu.
 
Hahahahaha dah noma hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…