Rutunga M JF-Expert Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1,769 Reaction score 1,390 May 22, 2010 #1 Katika pekua pekua,nimeona kwenye youtube moja,video inayomuonesha janet mwenda talawa akiwa katika ajira yake mpya,hivi kumbe aliacha kazi Radio One na kumfuata Vick Ntetema aliyekuwa BBC ebu gonga hapa
Katika pekua pekua,nimeona kwenye youtube moja,video inayomuonesha janet mwenda talawa akiwa katika ajira yake mpya,hivi kumbe aliacha kazi Radio One na kumfuata Vick Ntetema aliyekuwa BBC ebu gonga hapa