PreGE2025 Janeth Rithe wa ACT Wazalendo aachiliwa kwa dhamana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu,

Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa wa ACT Wazalendo, Jane Rithe, amepewa dhamana baada ya kushikiliwa katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa taarifa ya chama, Rithe aliachiwa kwa sharti la kuripoti tena polisi siku ya Jumatano.

Soma pia: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO

Chama kimesema kitatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo katika wakati muafaka.

 
Kaongea ukweli "Kachanganikiwa"
 
kisaikolojia, wamama wanajuana sana. "alipiga" mule mule.

sasa wanamshtaki kwa kosa gani. wonders will never end!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…