PreGE2025 Janeth Rithe: Wanawake msimchague tena Rais Samia, haoni dira mbele yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Muungano ufe Tanganyika iwe huru
 
Hasira za mama kumbe ndo maana kakamatwa
 
siasa majitaka ni nonsense sana aise,
unaonekana ni useless kuanzia kwa familia yako 🐒
 
Kutoka maktaba (Jambo tivii)

"Mkiambiwa mwenyekiti wenu ni muuaji semeni ni kweli" by samia

Polisi bado wako kwenye uchunguzi
 
Reactions: Cyb
Tayari yuko kwenye mikono salama ya Mafwele
 
Mmm! Mbona huyo Janeti kimuonekano yeye ndiye kachanganyikiwa?
 
Kusema kachanganyikiwa hapo kosa liko wapi?

Je baada ya kutamka hivyo aliyetajwa kwelie amegeuka kichaa?

Polisi hawapo kwa ajili ya kulinda wananchi na mali zao ila watawala

Ni uonevu uliopitiliza sana huu halafu cha ajabu Zitto bado anajipendekeza kwa ccm!!! mfyuuuuu
 
Ehee kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…