Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Inasikitisha sana
Tunapodai haki, uhuru na demokrasia ni vyema tukatekeleza wajibu wetu wa kufanya siasa za kiugwana kwanza. Unaposema "msiamchague rais amechanganyikiwa" hivi ukiulizwa uthibitishe kuchanganyikiwa kwa rais utaweza? Kuchanganyikiwa ni neno la kitiba, ni daktari wake tu ndio anaweza kuthibitisha rais yupo kwenye "acute confusion state" ambaye ww siye. Ukichukuliwa hatua utasema CCM wanaminya demokrasia.Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".
Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO
Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025
"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"
"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"
"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."
"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"
"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"
"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.
"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"
Ni muhimu kutofautisha kati ya ukuaji wa uchumi (growth rate) na ukubwa wa uchumi (economic size). Tanzania kuwa na GDP growth ya 6% siyo dalili ya udhaifu, bali inaonyesha juhudi za kupanua uchumi wake. Mataifa yaliyoendelea huwa na ukuaji mdogo kwa sababu tayari yako juu sana kiuchumi—hivyo hata ongezeko dogo lina uzito mkubwa.Hasa hapo kwenye uchumi wa Tanzania na marekani. Mwenyekiti ana hoja asikilizwe
SAHIHI. Samia amechanganyikiwa, mtu timamu hawezi KUROPOKA kwamba Tanzania inaizidi uchumi Marekani.Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".
Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO
Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025
"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"
"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"
"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."
"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"
"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"
"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.
"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"
Si bora avamiwe na wahuni. Utakujasikia report ya Polisi ikisema "Alikuwa akiwakimbia Geshi lilioenda kupeleleza kuhusu madeni anayodaiwa, baada ya kuwatoroka Polisi, akaenda kwenye jumba bovu ambapo aliwakawakuta vijana waliokuwa wametulia wakijivutia bangi zao akawabaka kikatili, ndipo Geshi liliposikia kelele hizo na kwenda kuwaokoa vijana hao lakini wakakuta sada huyo ameshawabaka na kutoroka. Geshi bado linaendelea na jitihada za kumtafuta"Utasikia kapewa kesi ama kavamiwa na wahuni wa watawala na kumbaka na vipigo juu!!
Kafanya maajabu gani huyo kiazi?!We
We bwege kilichoharibika ni akili yako. Samia ni mpango wa Mungu amefanya wonders ndani ya muda mfupi. Hilo danga limekosa dume ngoja lishughulikiwe
Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".
Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO
Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025
"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"
"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"
"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."
"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"
"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"
"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.
"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"
100%"Wanawake msiende kumchagua tena rais samia,samia amechanganyikiwa."

Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kuna freedom of speech, lakini siyo kutoa maneno ya matusi. Je, anaweza kuthibitisha kuchanganikiwa kwa rais?Mwenyekiti wa Ngome ya Wanawake Taifa kupitia chama cha ACT Wazalendo, Janeth Rithe, ametaka Wanawake nchini kutomchagua tena Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi ujao, akidai kuwa kiongozi huyo mkimuangalia "amechanganyikiwa".
Pia, Soma: Polisi wafika Ofisi za ACT Wazalendo kumkamata Janeth Rithe kwa agizo la ZCO
Kauli hiyo ameitoa akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika Ubungo, tarehe 18 Juni 2025
"Ndugu zangu Wana Ubungo na Watanzania kwa ujumla, Nchi yetu imejaa na Majonzi na Masikitiko mengi na hata ukituona tunavyotembea wote tumejawa na majonzi na masikitiko"
"Haki yetu ya msingi inaporwa kila baada ya Uchaguzi toka mwaka 2020, lakini wanao-sababisha mambo haya yatokee ama uporwaji huu wa Uchaguzi ni CCM na dola la CCM"
"Sasa tunakwenda kwenye Uchaguzi mwezi wa 10, naomba Wanawake wa Tanzania, kila Mwanamke popote alipo ajue kwamba anajukumu la kupiga Kura lakini pia anajukumu la kulinda."
"Wanawake tumetongozwa na CCM na sisi tumekubali, sasa hivi [...amesema Mwenyekiti wa Mkoa] watu wamegeuka kuwa Machawa nawaona Wanawake wakiwa wamevaa mavazi ya gharama na wanapita wakikwambia Samia tena Mitano 5"
"Nikiangalia ninashangaa Wanawake wa Tanzania, madhira makubwa tunayoyapata ni kutokana na Uongozi mbovu wa Chama cha Mapinduzi, madhira makubwa tunayo yapata ni kutokana na Uongozi huo huo wa Samia"
"Kwanza mimi na swali ambalo najiuliza, hivi hatuoni kama Samia anaenda kuongoza Miaka 15?. Amekuwa Makamu wa Rais kwa miaka 5, amekuwa Rais kwa Miaka 5 tena na sasa tunaenda kumpa 5 mingine. Hatuoni kwamba ameongoza kwa miaka 15 na amevunja Katiba.
"Na mkimuangalia amechanganyikiwa jamani, sasa mnaendaje kumchagua mtu aliyechanganyikiwa. Juzi katuambia eti Tanzania Uchumi umekuwa kuliko Marekani, hata kipofu na Kiziwi hili jambo akisikiliza anachanganyikiwa kabisa, ni namna ya Kiongozi aliyechanganyikiwa, ni namna ya Kiongozi ambaye haoni dira mbele yake, sijui kitu gani kinamchanganya, ndio maana CCM wamebakia kulindwa na Dola ama Polisi"
Huyu alikuwa Chadema akarubuniwa na Zitto, namuunga mkono kwa sababu huwezi kuwa mzima halafu ukasema Uchumi wa Tanzania ni bora kuliko Ulaya na Marekani, ni lazima utakuwa Mwehu tuamechanganyikiwa kwelikweli.
kumbe ACT wamo wanabadiliko.
NO REFORMS, NO ELECTION!
Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kuna freedom of speech, lakini siyo kutoa maneno ya matusi. Je, anaweza kuthibitisha kuchanganikiwa kwa rais?
Sheria ichukue mkondo wak
Yaani nyie ma ng'ombe,mnataka watu wawalape nyapu zenu? hivi nshaWai kuangalia campaigns katika civilized world? Raisi raisi raisi ndo Nini, yaani kuwa kiongozi wa ka nchi kenye GDP inayozidiwa na state of Ohio, ndo unatubwatukia,Tunapodai haki ya uhuru wa demokrasia ni vyema tukateleza wajibu wetu wa kufanya siasa za kiugwana kwanza. Unaposema "msiamchague rais amechanganyikiwa" hivi ukiulizwa uthibitishe kuchanganyikiwa kwa rais utaweza? Kuchanganyikiwa ni neno la kitiba, ni daktari wake tu ndio anaweza kuthibitisha rais yupo kwenye "acute confusion state" ambaye ww siye. Ukichukuliwa hatua utasema CCM wanaminya demokrasia.
Sasa anayesema kaizidi Marekani kiuchumi huku vyoo vya shimo vya shule zote Nchini mwake vimefurika kinyesi, unadhani ni mzima huyo?Huu ni utovu wa nidhamu uliopitiliza. Kuna freedom of speech, lakini siyo kutoa maneno ya matusi. Je, anaweza kuthibitisha kuchanganikiwa kwa rais?
Sheria ichukue mkondo wake tu.