PreGE2025 Janeth Rithe: Wanawake msimchague tena Rais Samia, haoni dira mbele yake

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Huyu alikuwa Chadema akarubuniwa na Zitto, namuunga mkono kwa sababu huwezi kuwa mzima halafu ukasema Uchumi wa Tanzania ni bora kuliko Ulaya na Marekani, ni lazima utakuwa Mwehu tu
huyu arudi nyumbani atubu aachane na dalali Zitto. Aje aongeze nguvu kwenye No Reforms, No Election. akili kubwa naona kaipata CHADEMA.
 
Utasikia kapewa kesi ama kavamiwa na wahuni wa watawala na kumbaka na vipigo juu!!

Zitto ataambiwa muondoe huyo, anamshambulia mfadhili wa Chama!!

Tayari washamuita kwa mahojiano...
 
😂😂😂😂😂😂
 
Zitto kajikausha kama hayamhusu.
 
Mama ana uwezo mkubwa kuliko chawa namba 1 wa Samia kutoka ACTW, Mwami Ruyagwa😂
 
Zitto kajikausha kama hayamhusu.
Hadi kiongozi awe Mkristo, ushamuona Zito au Abdul nondo wanaongea.
Kigoma haijawahi toa wanaharakati nje ya tumbo.
Tangu enzi ya waridi Kabulu wao wakitanguliziwa dau ugeuka upepo.
Kigoma mwanaharakati ni mmoja tu Shehe Ponda wengine wote sio wa kuwaamini
 
Katika watu ambao siji kuwaamini tena ni Zitto (ZZK).
Jamaa ni opportunist.
Wanaomheshimu zitto inabidi akili zao zifanyiwe surgery
 
Katika watu ambao siji kuwaamini tena ni Zitto (ZZK).
Jamaa ni opportunist.
Wanaomheshimu zitto inabidi akili zao zifanyiwe surgery

Baada ya Waridi Kabulu,Zito,kafulila,Nondo,nk usimuamini mwanasiasa atokae kigoma wale ni opportunist wanafanana.
Wakitanguliziwa pilau mbele akili ugeuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…