mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 768
kama ilivyo ada ya jukwaa hili la maceleb
ni kuwaanika hapa na kujua michango yao mbalimbali so far ya kiuchumi;kijamii na kisiasa ikibidi........
naomba kupat ainfo za huyu mdada...namzimikia sana kiagape..........nnemuona jana Clouds Tv;yupo huku kumbe?
Wa kitambo sana huyu nadhani kaolewa na Tallawa Tajiri la samaki mwanza!! Ulimuona Clouds TV kipindi gani au kwenye habari tu?
Nimesikia matangazo Clouds FM ana show yake mpya inaitwa ONGEA NA JANETH ipo Clouds TV