Janga jipya :Pacha wa ugonjwa wa UKIMWI waingia

Gumzo

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Posts
211
Reaction score
8
WAKATI wanasayansi wakiwa wanakaribia kukamilisha utafiti wa kuwezesha kupata tiba ya Ukimwi, ugonjwa mpya ambao unafanana kwa karibu kabisa na huo, umeibuka.

Adult-Onsets Immunal Deficiency (AOI) umeripotiwa kuibuka katika nchi za Ulaya na kusambaa kwa kasi duniani.

Kuibuka kwa ugonjwa huo, kumesababisha hofu mpya katika nchi za Ulaya na Bara la Asia ambako wagonjwa wengi zaidi wameonekana kuathiriwa na ugonjwa huo.

Ugonjwa huu umegunduliwa na Dk Sarah Browne wa Taasisi ya Mzio na Magonjwa ya Kuambukiza ya nchini Marekani (NIAID) ambaye aliongoza timu ya wanasayansi walioendesha utafiti husika.



CHANZO: GUMZO LA JIJI
 
Huu uzi haujakamilika mkuu. Huu ugonjwa unasababishwa na nini? Nini dalili zake? Unaathiri vipi maisha ya mwanadamu?
 
Umetokana na Nyani wa Ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…