Janga Kariakoo - Bendera zinafaa kupepea nusu mlingoti

Janga Kariakoo - Bendera zinafaa kupepea nusu mlingoti

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu?

2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
 
Attachments

  • images (42).jpeg
    images (42).jpeg
    10.6 KB · Views: 4
1. Vifaa vya uokozi na magari ya kifahari, vipi ghali? Na muhimu?

2. Watu wamekufa, baadhi bado wamekwama. Kwann tusiomboleze Kwa kupepea Bendera nusu mlingoti.
Hapa ndio pale mkiambiwa bado mnahitaji kurudi utumwani angalao kwa miongo mitano ili akili iwakae sawa mnabisha na chawa kwakuwa wanakula wanashiba wanazidi kuona maisha wameyapatia,huku huduma za msingi zikisahauliwa kwa jamii,ila uongozi wamejimilikisha na hawataki changamoto mpya.
 
Mambo mengine ni upuuzi mtupu., nusu mligoti unatusaidia nini sisi ndugu zetu had wakati huu bado tunawasiliana nao wamo kwenye kifusi
 
Back
Top Bottom