Kwanza,
Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari.
Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege bukoba, na hili la kariakoo, kwa uchache udhaifu bado ni uleule siku zote.
Inabidi kazi ya ziada ifanyike ili Hali iimarike na vikosi vipewe vifaa maalumu vya uokoaji na mafunzo lakini pia vikosi vyetu viwe na mafunzo ya ushirikiano mara kwa mara dhidi ya majanga tofauti tofauti.