π€£π€£π€£Mwenyekiti wa soko anamshukuru samia kwa kuokoa watu, kwahy mnapingana na mwenyekiti? π
Thamani ya pambio moja la haraka haraka mbele ya kamera ni kubwa mno zaidi ya vile unavyofikiriaπ€£π€£π€£
Inchi imekuwa ya Kifala sana hii sasa kila kitu wanamshukuru Rais Samia tu. Ama kweli ............... ππ
Hivi huyu mama kawaroga.. nimemsikia na mwanaFA nasema ushindi wa taifa stars anamshukuru mama..Mwenyekiti wa soko anamshukuru samia kwa kuokoa watu, kwahy mnapingana na mwenyekiti? π
Una ufala mwingi, wewe na huyo m/kiti πMwenyekiti wa soko anamshukuru samia kwa kuokoa watu, kwahy mnapingana na mwenyekiti? π
Inawezekana kwel nna ufala ila usinifananishe na huyo mpuuziUna ufala mwingi, wewe na huyo m/kiti π
Ila tukifungwa hawamshukuru mama π kwa sababu inakuwa n kipigo cha wananchi ila ushindi n wa mamaHivi huyu mama kawaroga.. nimemsikia na mwanaFA nasema ushindi wa taifa stars anamshukuru mama..
Aisee tumerogwa?!View attachment 3154502
Sasa kinachokuchekesha nini watu wana huzuni? πInawezekana kwel nna ufala ila usinifananishe na huyo mpuuzi
Watu wa time tu bila kushughulikia mapendekezo ya tume.Utasikia TUNAUNDA TUME YA UCHUNGUZI ha ha ha a a a majibu ya TUME wanapewa wao na wao hawatup ss ,, ss TUNA FAIDA IP NA HII TUME YA UCHUNGUZI??
"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."Kwanza
Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu , wakinga , wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari,
Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio , ndege bukoba, na hili la kariakoo, kwa uchache udhaifu bado ni uleule siku zote
Inabidi kazi ya ziada ifanyike ili Hali iimarike na vikosi vipewe vifaa maalumu vya uokoaji na mafunzo lakini pia vikosi vyetu viwe na mafunzo ya ushirikiano mara kwa mara dhidi ya majanga tofauti tofauti,
Ukweli mchungu mtu mweusi ni hajakamilika"Black people are not complete human beings because they don't have a good brain to govern the society as White people. They are still under the process of becoming the complete human beings."
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Nna huzuni kubwa, ila nimefurahi kuona upo salama mySasa kinachokuchekesha nini watu wana huzuni? π
Mwenyekiti wa soko anamshukuru samia kwa kuokoa watu, kwahy mnapingana na mwenyekiti? π
Kwanza,
Usimamizi wa ujenzi kariakoo ni mbovu, wakinga, wachaga, waha, wapemba wanajenga hovyo majengo marefu tena mengine bila hata uzio bado ni hatari.
Uokoaji kwenye majanga kama hayo kwa nchi yetu ni mbovu tukianza na meli ziwa Victoria, tukaja ajali ya treni, kivuko kule nansio, ndege bukoba, na hili la kariakoo, kwa uchache udhaifu bado ni uleule siku zote.
Inabidi kazi ya ziada ifanyike ili Hali iimarike na vikosi vipewe vifaa maalumu vya uokoaji na mafunzo lakini pia vikosi vyetu viwe na mafunzo ya ushirikiano mara kwa mara dhidi ya majanga tofauti tofauti.