Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Mkuu tatizo mavuno mengi yanakimbilia kwa wavunaji waloishiwa nguvu sababu ya kula chips badala ya ugali :coffee: !!!!Ndugu zangu,
Staili ya maisha ya sasa inatupeleka pabaya wanaume na kutishia ndoa nyingi. Ajabu wakati wanaume wengi wanakabiliwa na upungufu wa nguvu ya kiume, hamu ya wanawake kuwataka wanaume inashika kasi ajabu. Sasa hivi ni jambo la kawaida kuona wanawake wanaingia kwenye migogoro kwa sababu ya kugombea mwanaume. Hata ukisoma magazeti utakumbana na matangazo kibao ya dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hali hii naitafsiri kama janga la kitaifa. Ni kama mazao yapo tayari shambani kwa mavuno lakini wavunaji wameishiwa nguvu.
Mkuu tatizo mavuno mengi yanakimbilia kwa wavunaji waloishiwa nguvu sababu ya kula chips badala ya ugali :coffee: !!!!
Ndugu zangu,
Staili ya maisha ya sasa inatupeleka pabaya wanaume na kutishia ndoa nyingi. Ajabu wakati wanaume wengi wanakabiliwa na upungufu wa nguvu ya kiume, hamu ya wanawake kuwataka wanaume inashika kasi ajabu. Sasa hivi ni jambo la kawaida kuona wanawake wanaingia kwenye migogoro kwa sababu ya kugombea mwanaume. Hata ukisoma magazeti utakumbana na matangazo kibao ya dawa za kuongeza nguvu za kiume. Hali hii naitafsiri kama janga la kitaifa. Ni kama mazao yapo tayari shambani kwa mavuno lakini wavunaji wameishiwa nguvu.
Heri mie niliyeamua kujibakilia na menu yangu ya ugali kila mchana,kinachobadilika ni mboga tu.......................
Kwa kweli wanaume tukiendekeza vyakula vya kijingajinga kama chips, tomato na mayai ya kisasa seriously tutaangamiza ndoa zetu. Anachoeleza Dumelambegu inaonekana kama mzaha lakini huo ndiyo ukweli. Hali ni mbaya sana. Wanaume wengi wengi siku hizi wanasingizia malaria, mara oohh mwili umechoka kwa kazi za ofisini, mara bosi wangu amenitibua, n.k. Kumbe yote hiyo ni kukwepa wajibu baada ya 'mzee' kugoma kusimama. Kuna haja ya kuanza kula vyakula vyetu vya asili ili turejeshe heshima zetu.
ndiyo maana wanaokula kwa mama ntilie ndiyo wachapaji wazuri wa wake za watu. Wanaokula movernpick na mahoteli makubwamakubwa ya kitalii si lolote si chochote! Kazi kuchomekea tu!